VIDEO: Rayvanny alivyowachekesha kina Mr. Blue, Shilole, Chege na wengine kwenye Basi


Tamasha la FIESTA 2016 lipo kwenye ziara yake ya mikoa mbalimbali Tanzania ambapo moja ya vitu ungependa kuona ni jinsi Wasanii wanavyosafiri pamoja kwenye basi na maongezi yao wakati mwingi.
Kama hukuwa unajua Rayvanny hana tu kipaji cha kuimba bali hata uchekeshaji vilevile anauweza, kwenye safari wakati wote ameonekana kuwachekesha wasanii wenzake kama inavyoonekana kwenye hii video hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that