PICHA : Wema sepetu kwenye Rep carpet la Miss Tanzania 2016 Mwanza

Hizi ni baadhi ya picha kutoka Miss Tanzania 2016, miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni Wema Sepetu, hizi picha zake tatu kwenye Red Carpet, Looking Beautiful as Always.
Kwenye mashindano haya ya urembo alitangazwa mshindi Diana Edward Lukumai ambaye ni Miss Kinondoni 2016.


Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that