RAIS BARACK OBAMA AMETAJA WANA HIPHOP ANAOWAKUBALI ZAIDI.

Rais wa Marekani Barack Obama ametaja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi kwa sasa Nchini Marekani.
Kupitia kipindi cha Sway In The Morning, amewataja Jay Z, Chance The Rapper,Kendrick Lamar, Drake na Kanye West.
Obama pia amesema alimjua Chance The Rapper akiwa na miaka nane tu na kwamba bado Jay Z ni Mfalme wa Hiphop.
CHANCE THE RAPPER

DRAKE

JAY Z

KANYE. WEST

KENDRICK LAMAR 

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that