NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that

 Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins, Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.



Comments

Popular posts from this blog