VIDEO: Walter Chilambo katangaza kuiacha Bongofleva

Aliyewahi kuwa mshindi wa Bongo star search mwaka 2012 mkimfahamu kama Walter Chilambo ambae kwa muda kidogo sasa hajatoa ngoma yoyote na hii imejenga maswali mengi kwa mshabiki wake kuwa ameacha muziki ama vipi.
Camera za Millardayo.com na AyoTv iliweza kumpata Walter Chilambo na haya ndio maneno aliyozungumza  ..
>>>‘Bongofleva sahizi kiukweli sina plan yoyote kwasababu sahivi plan yangu nataka kuswitch na kufanya kitu kingine haimanishi kwamba naukimbia mziki wa bongofleva hapana! nauweza vizuri sana ila nimekuwa na marafiki wazuri wamenishauri kufanya kitu tofauti hata makanisani pia wachungaji kwahiyo nimekuwa na hofu ya Mungu tu’




Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that