Biashara nyingine atakayoanzisha Diamond Platnumz hivi karibuni


Manukato itakuwa biashara nyingine atakayokuwa fanya bongo fleva super staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz.
Kwa sasa amejiunga na mastaa kama Jennifer Lopez na Nicki Minaj ambao tayari wana manukato yao na kila siku wanatengeneza pesa kwa kubuni manukato mengine na kuingiza sokoni kwaajili ya mashabiki zao.
Diamond Platnumz anaelekea kuingiza sokoni manukato yake yatakayoitwa #ChibuPerfume #TheScentYouDeserve

Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that