VideoMPYA: Chidinma anakualika kuitazama video hii ‘Fallen in Love’



Mwanadada msanii kutokea Nigeria, Chidinma anayefahamika kama ‘Miss Kedike’ ambae ameshafanya collabo na rapper wa Tanzania Joh Makini kwenye single ya ‘Perfect Combo‘ amerudi tena kwenye air waves na ngoma yake mpya ya ‘Fallen in Love’.
Nimekuwekea video ya mdundo huo hapa chini bonyeza play uweze kuitazama …






Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that