NEW VIDEO ; TIMBULO FT BARAKA THE PRINCE INAYOITWA "USISAHAU"

Msanii Timbulo leo Nov 18,  2016  ametosogezea hii video ya single mpya iitwayo ‘Usisahau’ aliyomshirikisha Baraka The Prince.
Ukishamaliza kuitazama hapa sio mbaya ukituachia na comment yako ili wakali huyo akipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.


Tazama hapo chini





Comments

Popular posts from this blog

NEW VIDEO: Korede Bello - Do like that